Justus Madoya ni mmoja wa wanagofu 8 watakaoipeperusha bendera ya Kenya katika MKO

  • | NTV Video
    241 views

    Justus Madoya ni mmoja kati ya wanagofu 8 wazoefu ambao wataipeperusha bendera ya Kenya katika makala ya mwaka huu ya gofu ya Magical Kenya Open ambayo yatafanyika kuanzia Alhamisi hii ugani Muthaiga Golf Club.