Skip to main content
Skip to main content

Kakamega: Familia zilizopoteza wapendwa wao katika maandamamo na ya 2024 wahofia kutofidiwa

  • | NTV Video
    390 views
    Duration: 2:35
    Baadhi ya familia zilizoathirika kwenye mswada tata wa fedha wa mwaka wa 2024 kaunti ya kakamega Wamepinga vikali uwezekano wa mkataba mpya kati ya chama cha uda na odm wakisema hauna faida kwao baada ya serikali kushindwa kutimiza ule uliowekwa kati ya serikali na mwendazake raila odinga. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya