Skip to main content
Skip to main content

Kakamega: Mzozo wa shilingi kumi katika malipo ya ugali yasababisha mmiliki wa hoteli kupigwa mawe

  • | NTV Video
    68,388 views
    Duration: 2:53
    Mzozo wa shilingi kumi wamuacha mmiliki wa hoteli akiwa amepigwa mawe mjini Kakamega. Mzozo huo uliibuka kati ya mmiliki wa hoteli hiyo na mteja wake, baada ya mteja huyo kupinga kukatwa kwa shilingi kumi katika malipo yake ya ugali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya