- 1,409 viewsDuration: 58sKinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, ameilaumu serikali kwa kuwapa Wakenya ahadi za uongo, akisema ahadi za Kenya kuwa taifa lililostawi karibuni ni ndoto tu. Akizungumza wakati wa ibada eneo la South B hapa Nairobi, Kalonzo akisema pesa anazopanga kutumia Rais William Ruto kwa mpango huo zinatumika kinyume na katiba