Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo na Gachagua wasisitiza umoja wa upinzani

  • | Citizen TV
    7,787 views
    Duration: 2:23
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa DCP Rigathi Gachagua wamesisitiza kuwa umoja wa upinzani bado uko imara, huku wakiahidi kuwa watamtangaza mgombea wao wa urais hivi karibuni. Wakihutubia mkutano wa hadhara eneo la Kitengela, kaunti ya Kajiado, viongozi hao pia wameahidi kupigania haki za waathiriwa wa maandamano ya Gen Z wakisema bado wengi hawajapata haki. Willy Lusige na taarifa hiyo.