- 216 viewsDuration: 2:04KILIMO CHA KISASA Kenya inashinikiza ubunifu zaidi katika sekta ya kilimo na utafutaji suluhu kwa athari za mabadiliko ya anga kwa kilimo ili kuhakikisha wakuliama wa mashamba madogo wanazalisha mazao mengi.Mwenyekiti wa shirika la utafiti wa kilimo na mifugo la Kenya KALRO Dr. Thuo Mathenge anasema utafiti wa kisayansi wa humu nchini unaweza kuhamishwa moja kwa moja kutoka maabara hadi kwenye mashamba ya wakulima wa mashamba madogo wa kenya kwa utekelezaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive