Skip to main content
Skip to main content

Kamanda wa polisi Nakuru awaonya madereva dhidi ya uzembe barabarani msimu wa Krismasi

  • | Citizen TV
    400 views
    Duration: 7:38
    Huku kukiwa na ongezeko la visa vya ajali barabarani kote nchini, kamanda wa polisi katika kaunti ya nakuru Samuel Boit sasa anawaonya madereva kuwa wangalifu zaidi barabarani hasa tunapoingia Katika msimu wa sherehe za krismasi na kutaka magari ya kibinafusi kukoma kubeba abiria barabarani.