- 1,066 viewsDuration: 3:04Wanachama wa kamati ya uhasibu katika Bunge la Kitaifa wameibua maswali kuhusu jinsi shilingi bilioni 6.3 zilivyohamishwa kutoka kwa akaunti ya serikali hadi akaunti ya kibinafsi. Kamati ikiibua maswali kuhusu uaminifu wa mfumo huo wa kulipia huduma za serikali, e-Citizen, kama anavyoarifu Emmanuel Too, Katibu wa Hazina ya Kitaifa, Dkt. Chris Kiptoo, aliwaambia wabunge hao kwamba fedha hizo hazikupotea.