10 Dec 2025 1:26 pm | Citizen TV 288 views Duration: 1:36 Kamati ya kitaifa kuhusu malalamishi ya mazingira imezipatia makataa ya miezi miwili kampuni zinazomiliki machimbo kaunti ya Kilifi kuhakikisha zinafuata sheria za uchimbaji madini.