- 610 viewsDuration: 5:08Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Mawasiliano, Habari na Ubunifu, inayoongozwa na mbunge wa dagoretti kusini John Kiarie inafanya ziara ya ukaguzi wa miradi katika Kaunti ya Garissa mijini na Eneobunge la lagdera. Ziara hiyo inalenga kutathmini hali ya upatikanaji wa mtandao wa mawasiliano pamoja na matumizi ya Mfuko wa Huduma kwa Wote (USF), na miradi mengine