15 Apr 2026 10:21 am | Citizen TV 139 views Duration: 1:07 Kamishna wa kaunti ya Nyamira Shufaa Omar amewashauri wazazi katika kaunti hiyo kuwa makini katika majukumu yao ya ulezi, akiwataka wawe waaangalifu na matumizi ya simu kwa wana wao.