1 Dec 2025 11:08 am | Citizen TV 185 views Duration: 2:08 Watoto walioathirika na utapiamlo katika Kaunti ya Nairobi watapata afueni hivi karibuni baada ya kampeni ya kuchangisha zaidi ya shilingi milioni ishirini na tano kuzinduliwa