Skip to main content
Skip to main content

Kampeni za linda mwananchi mjini Nakuru

  • | Citizen TV
    3,881 views
    Duration: 3:02
    Wanasiasa wa mrengo wa Linda Wananchi kwenye ODM wanawataka viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa kitaifa wa mwaka jana kung'atuka. Viongozi hao waliozuru kaunti ya Nakuru, waliendelea kumsuta Rais William Ruto kwa kile wanadai ni kuvuruga mikutano yao na kutotimiza ahadi kwa wakenya.