7 Dec 2025 7:50 pm | Citizen TV 3,140 views Duration: 1:25 Kampeini za urais nchini Uganda zimeshika kazi huku rais Yoweri Museveni na mgombea wa upinzani Robert Kyagulanyi wakifanya kampeni maeneo mbalimbali ya taifa hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi Januari