Kampuni ya Binance imezindua kampeni ya usalama inayolengwa kuwakinga wawekezaji wa mtandaoni. Afisa mkuu wa kampuni ya Binance kanda hii, Saruni Maina, amesema kampuni hiyo hutumia mbinu za kisasa za kiusalama kulinda mali na fedha za wawekezaji mtandaoni.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive