Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Royal Mabati Factory Limited yapewa tuzo ya kuwa kampuni bora

  • | Citizen TV
    989 views
    Duration: 1:08
    Kampuni ya Royal Mabati Factory Limited ilitambuliwa na kupewa tuzo ya Kampuni bora ya Uzalishaji ya Mwaka 2025 kwenye toleo la 7 la Tuzo za Mabingwa wa Afrika, iliyofanyika chini ya mada ya Uongozi wa Mabadiliko. ilitambuliwa na kupewa tuzo ya Kampuni bora ya Uzalishaji ya Mwaka 2025 kwenye toleo la 7 la Tuzo za Mabingwa wa Afrika, iliyofanyika chini ya mada ya Uongozi wa Mabadiliko.