Kampuni ya sukari ya Nzoia yakodishwa kwa West Sugar

  • | KBC Video
    38 views

    Sekta ya sukari inatarajiwa kuimarika kufuatia kutiwa saini kwa mkataba utakaohakikisha wakulima na wafanyakazi wa kampuni ya sukari ya Nzoia wanapokea malipo yao ya jumla ya shilingi bilioni 5.6.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News