- 1,387 viewsDuration: 2:07Huku ubomoaji wa eneo la Makongeni ukitarajiwa kufikia sehemu za maabadi, imekuwa hafla ya mwisho kwa kanisa la Legio Maria ambalo limemiliki kanisa kwa zaidi ya miaka 40 eneo hilo. Kanisa hilo sasa likimtaka rais William Ruto kuingilia kati na kusitisha ubomoaji wa kanisa wanalolesa wameekeza pesa nyingi