Skip to main content
Skip to main content

Kanja aonya wahuni, ataja uhuni tishio kwa usalama wa taifa

  • | Citizen TV
    1,121 views
    Duration: 1:40
    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja sasa ametaja uhuni unaoendelea nchini kama tishio kubwa kwa usalama wa kitaifa. Kwenye hotuba yake kwa wanahabari jioni ya leo, Kanja ameonya kuwa wahuni watakabiliwa vilivyo na kuwataka wasitishe tabia hiyo. Aidha amekashifu vitendo vya kuvamiwa kwa vituo vya polisi na maafisa wa polisi akisema wahusika watakabiliwa kisheria