Skip to main content
Skip to main content

Kapsabet: shule ya wanafunzi wasio na uwezo wa kusikia yakumbwa na ukosefu wa fedha za matumizi

  • | NTV Video
    48 views
    Duration: 2:14
    Shule ya wanafunzi wasio na uwezo wa kusikia la Kapsabet inakabiliwa na wakati mgumu, baada ya fedha za matumizi ya wizara ya elimu kuisha na kuiacha shule hiyo kutegemea wafadhili. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya