- 34,926 viewsDuration: 49sKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea #bbcswahili #chadema #kesi #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw