Kati ya waziri Mbadi na Rais Ruto tutaamini nani kuhusu free education?: MP Makali Mulu

  • | TV 47
    41 views

    Kati ya waziri Mbadi na Rais Ruto tutaamini nani kuhusu free education?: MP Makali Mulu | #UkumbiWaSiasa

    Waziri Mbadi amesema hakuna hela za free education na Rais anasema free education itaendelea, tutaamini nani? Mnasema hakuna pesa za free education lakini kuna ghost schools zinazopata mgao. Wakati umefika hii serikali iende. - Dkt. Makali Mulu, MP Kitui Central.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __