Skip to main content
Skip to main content

Katibu Bitok akutana na wadau wa elimu Nakuru

  • | Citizen TV
    71 views
    Katibu wa Elimu ya Msingi, Julius Bitok, anafanya kikao na wadau wa elimu katika kaunti ya Nakuru kujadili hali ya elimu katika Kaunti hiyo na kuangazia changamoto pamoja na fursa zilizopo katika maendeleo ya sekta hii muhimu.