- 292 viewsDuration: 1:36katibu katika idara ya maslahi ya nchi za nje Roseline Njogu amekabiliwa na wakati mgumu wa kuleleza kamati ya bunge kuhusu uhasibu wa pesa za umma, sababu za maafisa wa serikali kukwepa kutumia ndege za KQ kwa safari za nje ya nchi. Njogu alikuwa akijibu maswali kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za idara hiyo ya mwaka wa 2023/ 2024 na 2024/2025.