- 270 viewsDuration: 1:30Katibu katika wizara ya leba nchini Shadrack Mwadime ameongoza shughli ya kuhamasisha vijana kuhusu mpango wa Nyota ambapo vijana watapata nafasi ya kujiendeleza ki biashara kutokana na fedha watakazopata kutoka kwa serikali.