10 Oct 2025 1:09 pm | Citizen TV 397 views Duration: 1:27 Katibu wa afya Mary Muthoni amesisitizia kuzingatiwa kwa usafi kwa wakenya wote, akisema magonjwa yanayohusishwa na uchafu yamezidi nchini