Kauli ya Rais Ruto: wandani wake watetea agizo kwa polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji mguuni

  • | NTV Video
    957 views

    Wandani wa Rais William Ruto kutoka kaskazini mwa Bonde la Ufa wamejitokeza kumtetea kufuatia kauli yake tata ya kuamuru polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji wanaoharibu biashara.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya