- 56 viewsDuration: 4:06Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetahadharisha kwamba kaunti tisa katika maeneo kame ziko kwenye hatari ya uhaba mkubwa wa chakula. Kwenye utabiri wake wa hivi punde, idara hiyo inasema maeneo kadhaa ya humu nchini yatapokea mvua ya chini ya wastani wakati wa msimu ujao wa mvua ya masika. Idara hiyo inahimiza wadau kujiandaa kwa athari za hali ya anga na kuweka mikakati ya kukabiliana nazo ikizingatiwa kuwa maeneo kadhaa hayatakuwa na mvua ya kuridhisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive