- 220 viewsDuration: 2:28Serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na benki moja nchini, imeanzisha mpango wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vya kiufundi kupata mafundisho katika nyanja mbalimbali ili kuwawezesha kujiajiri na kubuni nafasi za ajira.