Kaunti ya Kilifi kuwawezesha vijana kiuchumi

  • | Citizen TV
    182 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imeipatia kipaumbele michezo katika kaunti hiyo ili kuwawezesha vijana kiuchumi na kukuza talanta zao.