Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kwale yasambaza tani 4 za mbegu za mchele kwa wakulima 400

  • | Citizen TV
    361 views
    Duration: 1:00
    Gavana wa Kwale Fatuma Achani aligawa tani nne za mbegu za mchele kwa wakulima 400 katika wadi za Pongwe-Kikoneni, Ramisi na Vanga. Vanga ilipokea tani mbili, huku Ramisi na Pongwe-Kikoneni zikipewa tani moja kila moja. Kwa jumla, Kaunti ya Kwale imesambaza zaidi ya tani 400 za mbegu kwa wakulima 180,000.