Kaunti ya Machakos yaanzisha mpango wa shilingi milioni 80 wa kutoa msaada wa karo kwa wanafunzi

  • | Citizen TV
    561 views

    Kaunti ya Machakos imeanzisha mpango wa shilingi milioni 80 wa kutoa msaada wa karo kwa wanafunzi katika kaunti hiyo. Akizumgumza katika hafla ya kuzindua mpango huo Gavana Wavinya Ndeti alitaka mashirika ya kibinafsi kujitokeza kuwasaidia wanafunzi kutoka jamii maskini akisema kuwa wanafunzi hao ndio wengi zaidi.