Kaunti ya Makueni imeanza zoezi la kusambaza chakula

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali ya Kaunti ya Makueni imeanza zoezi la kusambaza chakula kwenye shule 34 zilizoko kwenye wadi ya Kiima kiu kalanzoni iliyoathiriwa pakubwa na njaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #foodrelief #makueni