- 180 viewsDuration: 1:48Kaunti ya Murang’a imezindua mpango mpya wa upanzi wa miti ya kiasili na ya dawa. Mpango huu unalenga kulinda mazingira pamoja na kuhifadhi maarifa ya jadi kuhusu miti ya dawa. Shughuli hii imezinduliwa katika chuo cha ufundi cha Kahumbu ambapo ni moja wapoya vyuo vinavyotoa mafunzo ya kilimo Ikolojia.