- 35 viewsSerikali ya Kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Lishe, Nutrition International, imefufua upya mkataba wa makubaliano na kutia saini mpango wa kisheria unaolenga kutoa mwongozo thabiti wa kukabiliana na changamoto ya utapiamlo miongoni mwa watoto pamoja na kuboresha uzalishaji wa chakula katika kipindi cha miaka ishirini ijayo.