12 Nov 2026 1:51 pm | Citizen TV 56 views Duration: 1:30 Serikali ya Kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na wanaharakati wa Rural women peace Link wamezindua mpango wa miaka mitatu unaolenga kukabiliana na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana.