Kazi Ni Kazi: Tunamwangazia mwanariadha Ferdinand Omanyala

  • | KBC Video
    18 views

    Wakati Ferdinand Omanyala alipovalia njuga na kukimbia kwa mara ya kwanza, katu hangedhani kwamba mbio za kasi zingemfanya sio tu kuwa maarufu bali pia kufungua njia ya taaluma ya kipekee ambayo ni mseto wa riadha na utumishi kwa umma. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 27, ambaye rekodi zake za mbio za mita 100 zimemfanya kuwa mmoja wa wanariadha mashuhuri zaidi barani Afrika anayetawala mbio za masafa mafupi huku akihudumia taifa kama koplo wa polisi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive