- 297 viewsDuration: 1:09KCB Fc wamerejea kileleni mwa ligi kuu ya Kenya baada ya kutoka nyuma mara mbili na kuwafunga APS Bomet kwa mabao 4-2 katika uwanja wa Kasarani. Posta Rangers walijiunga na KCB kileleni wakiwa na pointi 21 baada ya sare tasa dhidi ya Bandari Fc