KCB FC yapata nguvu mpya

  • | Citizen TV
    162 views

    Timu ya KCB FC inayoshiriki ligi kuu nchini imeongeza nguvu kikosi chake kwa kusajili wachezaji saba mwezi huu wa januari.