KEBS yasema mbole ya ruzuku ni ghushi

  • | Citizen TV
    175 views

    Ujenzi wa madarasa manane katika shule ya msingi ya Ole Kimunke katika eneobunge la Kajiado Magharibi umewapa matumaini Wanafunzi na walimu ambao wamekuwa wakikabiliwa na mahangaiko makubwa. Wanafunzi walikuwa wakisomea katika mazingira duni huku joto jingi linalochangiwa na kuta za mabati likikatiza masomo kuanzia adhuhuri kila siku. Robert Masai anaangazia kuimarishwa kwa mazingira ya shule hiyo na jinsi hali hiyo imeleta matumaini ya kuimarika kwa masomo.