"Kenya imelipa CAF shilingi bilioni 1.6" Waziri Mvurya azungumzia gharama ya maandalizi ya CHAN

  • | KBC Video
    6 views

    "Serikali ya Kenya imelipa 'hosting fee' ya shilingi bilioni 1.6 ili kuweza kuingia katika makubaliano rasmi na CAF ya kuandaa michuano hiyo," Waziri Salim Mvurya azungumzia gharama ya maandalizi ya Michuano ya CHAN.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive