- 718 viewsDuration: 2:03Wakenya kutoka matabaka mbalimbali wamepokea kwa msisimko mkubwa habari za Kenya kushinda zabuni ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha, huku mashindano hayo yakitarajiwa kufanyika barani Afrika kwa mara ya kwanza.