Skip to main content
Skip to main content

Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuandaa Mashindano ya Riadha 2029

  • | Citizen TV
    5,365 views
    Duration: 3:26
    Kenya kwa mara nyingine itaweka historia kwa kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuandaa Mashindano ya Riadha Duniani mwaka 2029. Beijing, China, itakuwa mwenyeji wa mashindano ya mwaka 2027 kabla ya kukabidhi Nairobi kwa makala ya 2029. Ombi la Kenya limekubaliwa na Shirikisho la Riadha Duniani, huku maandalizi yakitarajiwa kuanza mara moja.