Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza wamkosoa Uhuru, wamshinikiza ajiondoe kwenye siasa

  • | Citizen TV
    796 views
    Duration: 2:57
    Wanasiasa wa Kenya Kwanza sasa wametishia kuwasilisha hoja bungeni ya kusimamisha mara moja malipo ya kustaafu ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iwapo ataendelea kujihusisha na siasa. Wanasiasa hawa wakimtaka Uhuru kuendelea kustaafu kwa amani na kutojihusisha na siasa. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen pia akiwa afisa wa punde zaidi serikalini kukosoa matamshi ya Ijumaa ya Rais Mstaafu.