Kenya Kwanza yaendeleza kampeni zake katika bonde la ufa

  • | K24 Video
    74 views

    Naibu rais William Ruto amefikisha kampeni za muungano wa Kenya Kwanza katika bonde la ufa alikoendelea kuwapiga vijembe wapinzani wake kutoka muungano wa Azimio-One Kenya. Ruto amekutana na viongozi wa kaunti ya Nakuru na kupigia debe sera zake kuhusu mfumo wa kiuchumi anaopendekeza wa bottom-up.