Kenya na Misri zajitolea kuimarisha ushirikiano wa kibiashara

  • | KBC Video
    16 views

    Balozi wa Misri humu nchini Wael Nasr Eldin Attiya amesisitiza kujitolea taifa lake kuimarisha uhusiano wake na Kenya kupitia ushirikiano katika nyanja tofauti. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya miaka 60 ya Misri, Attiya alitaja sekta za elimu, biashara, afya na usalama kuwa baadhi ya sekta muhimu ambazo mataifa hayo mawili yanashirikiana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive