- 30 viewsTimu ya pamoja kutoka mamlaka za kudhibiti dawa za kuua wadudu na wale wa usalama kutoka kenya na uganda imetoa onyo kuhusu ongezeko la uingizaji wa dawa ambazo hazijaidhinishwa kwa matumizi afrika mashariki. Viongozi wa nchi hizi mbili ambao walizuri mpaka wa malaba walisema bidhaa hizo hatari zinatishia usalama wa chakula, afya ya wakulima.