KONGAMANO KUHUSU BAHARI
Naibu rais Kithure Kindiki amesema kuwa Kenya inaazimia kutumia rasilmali kwenye eneo la bahari ya Hindi kuzipa uwezo jamii za eneo la pwani huku wakilinda mifumo ikolojia ya baharini kwa minajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Akizungumza wakati wa kufunguliwa kwa kongamano la 11 kuhusu bahari jijini Mombasa, ambako alimwakilisha rais William Ruto, Prof. Kindiki alisema kuwa bahari ya Hindi ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa nchi hii na ni sharti ilindwe kutokana na shughuli zinazoiharibu zikiwemo athari za mabadiliko ya hali ya anga.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive