Skip to main content
Skip to main content

Kenya yatafuta msaada wa dharura kukabiliana na gharama ya juu ya mafuta

  • | Citizen TV
    2,532 views
    Duration: 2:52
    Serikali ya Kenya inatafuta msaada wa dharura wa kifedha kutoka Benki ya Dunia ili kukabiliana na gharama ya juu ya mafuta inayotishia kuathiri pakubwa uchumi wa nchi. Haya yanajiri huku Rais William Ruto akitia saini mswada wa ushuru wa VAT kuwa sheria na kupunguza ushuru unaotozwa petroli. Serikali inasema bado inatafuta njia zaidi za kukabiliana na bei ya juu ya mafuta.