- 257 viewsDuration: 4:06Kenya yatia saini mkataba wa maelewano na taifa la Azerbaijan ili kuboresha mipango na ukuaji wa miji, kukabiliana na mafuriko pamoja na kubuniwa kwa sera za makazi. Kenya pia inalenga kubadili ujenzi wa masoko kwa kutenga sehemu maalum ya watoto wadogo kucheza ili kutoa fursa wa wanawake kuendelea na kazi sokoni.